BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Trump atangaza hatua kali zaidi za kiuchumi dhidi ya Iran na washirika wake
Shinikizo hili jipya la kulenga zaidi uchumi wa Iran linakuja wakati vita vya Iran vikielekea kutimiza miezi sita bila ya juhudi zozote madhubuti za kidiplomasia wala kijeshi.
Kwa nini mojawapo ya misimu isiyotabirika zaidi ya Ligi Kuu ya Uingereza inakuja?
Msimu wa Ligi Kuu wa 2026-27 bado haujaanza, lakini tayari umeweka historia.
Akili Mnemba (AI) yatikisa Ajira: Kazi gani ziko Hatarini?
Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Tanzania adaiwa 'kutaka kuchoma majengo ya polisi'
Wakili wa Mhadhiri huyo Godfrey Wasonga anasema kwamba mteja wake anatuhumiwa kutaka kuchoma ''makazi ya askari polisi Tanzania nzima ikiwepo na Zanzibar”.
Jiwe la kilo 3.1 laondolewa kwenye kibofu cha mwanaume
Madaktari nchini Sri Lanka wamemwondolea mwanamume jiwe la kibofu lenye uzito wa kilo 3.1 ambalo wanaamini kuwa ndilo kubwa zaidi la aina yake kuwahi kurekodiwa.
Bidhaa 8 zilizobadilisha dunia
Apple inatimiza miaka 50, safari yenye mafanikio makubwa, changamoto na bidhaa zilizobadilisha dunia. Tunaangazia bidhaa zilizoifanya Apple kuwa kampuni tunayoijua leo.
Mkuu wa Ujasusi Ecuador, Wamarekani 5 wafariki kwa ajali ya helikopta Kenya
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) ilisema kuwa helikopta hiyo ilikuwa katika safari ya kutalii mandhari.
'Falcon Strike Force' ni nini, na kwa nini Marekani 'inahaha' kukiimarisha?
Marekani inapanua matumizi ya droni za mashambulizi Mashariki ya Kati. Lakini “Falcon Strike Force” ni nini, na kwa nini Washington inatafuta washirika wa kikanda kujiunga na mpango huo?
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Gabriel Jesus hana mpango wa kuhamia Napoli
Manchester City kumenyana na majirani zao Manchester United kumsajili Manu Kone, huku Aston Villa ikionyesha nia ya kumsajili Tosin Adarabioyo na Tottenham ikiwa katika mazungumzo kuhusu wachezaji wawili wa Man City.
Tuko tayari kukabiliana na tishio lolote kutoka Iran - NATO
Kauli hiyo imetolewa na afisa wa NATO akijibu ripoti ya gazeti la Financial Times kwamba Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Rais Donald Trump ataongeza mashambulizi dhidi yake.
VAR, kupoteza muda na uingizaji wa wachezaji wa akiba - Sheria mpya kwa msimu mpya
Msimu wa 2026-27 utashuhudia idadi kubwa ya sheria mpya, ambazo nyingi zinalenga kushughulikia suala la kuvurugwa kwa kasi ya mchezo na kuufanya mchezo huo uwe wa kasi zaidi.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mambo yanayokuwezesha kurejesha nyuma umri wako
Sayansi inaonyesha kuwa ni wakati wa kutafakari upya na kuchukua udhibiti wa umri wa miili yetu. Hivi ndivyo unavyoweza kupunguza kasi, kusimamisha, na huenda hata kurudisha nyuma saa yako ya kibiolojia.
Ellen: Binti anayewafuatilia simba 300 wenye vitambulisho Serengeti
Kwa miaka mitatu, mwanasayansi huyo amekuwa akiwafuatilia simba katika Serengeti, akijifunza maisha yao mmoja baada ya mwingine, huku akikabili hatari za kuwa karibu nao.
Mji unaomtengenezea Trump makombora
Mkazi mmoja anasema kuwa katika eneo la Kingsport, Tennessee, lililoko katika ukanda wa milima ya Appalachian, kuna makanisa mengi kiasi kwamba inaonekana kana kwamba kuna kanisa katika kila barabara.
Uchaguzi Kenya 2027: Uchaguzi unaoanza mwaka mmoja kabla ya kura
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Kenya Augustine Omondo akielezea kuhusu siasa za kenya amesema ''Uchaguzi wa Kenya si tukio la siku moja, ni mchakato mkubwa unaohitaji maandalizi ya teknolojia, usalama, mawasiliano, usafirishaji na maelfu ya maafisa''.
Ndege 5 za kivita zenye kasi zaidi
Wakati wa vita vya Iran/Iraq katika miaka ya 1980, inaaminika kwamba ndege za kivita za Iran aina ya F-14 zilisababisha vifo vya takriban watu 150 katika mapigano ya angani.
Kwa nini Tanzania inawashirikisha majaji wa nje kuchunguza ghasia za Oktoba 29?
Vyama vya upinzani nchini Namibia, na CHADEMA cha Tanzania vimepinga uwepo wa majaji wa nje, kwa mantiki mbalimbali ikiwmeo uhuru wa kimahakama Namibia na hofu ya kutopatikana ukweli kwa Tanzania.
WARIDI WA BBC: 'Nina miaka 23 na nywele zangu zinanyonyoka'
Tatizo la kung'oka au kunyoyoka nywele linakadiriwa kuwaathiri watu milioni 160 duniani kote.
Tishio la Iran lashinikiza Trump kufichwa katika lori la chakula
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kuwa Donald Trump alibadilisha ndege kwa siri wakati akiondoka kwenye mkutano wa kilele wa NATO nchini Uturuki mwezi uliopita, kutokana na tishio linalowezekana kutoka Iran
Viumbe 10 vyenye sura mbaya zaidi duniani
Watu wengi huvutiwa na wanyama wenye sura kama za watoto - fikiria macho makubwa, pua ndogo, nyuso za mviringo. Ni kwa sababu tunawajali watoto wetu.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Kwa nini baadhi ya wanaume huongeza sehemu zao za siri?
Wanaume waliofanyiwa utaratibu huo wanaweza kutarajia ongezeko la unene wa asilimia 10 hadi 20 kwa miezi sita hadi tisa ijayo – lakini mambo yanaweza kwenda mrama.
Wadudu ambao ni tunu ya maarifa iliyofichwa katika ulimwengu wa asili
Kuanzia mende hadi nzi, kuna mengi tunayoweza kujifunza kutokana na mienendo yao kuhusu jinsi ya kufanya maamuzi bora.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 21 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 20 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 20 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 20 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































