BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Kombe la Dunia 2026: Senegal kurejea ya 2002?
Usiku huu Senegal wanakutana na Ufaransa katika mchezo wa kundi I ukikumbusha mchezo wa kushangaza wa kombe la dunia 2002, Senegal ikishinda 1-0 dhidi ya Ufaransa iliyokuwa na wachezaji nyota zaidi wakati huo
Trump akosoa mwenendo wa Netanyahu nchini Lebanon
Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena ameikosoa Israel kwa mwenendo wake nchini Lebanon.
Kombe la Dunia 2026: Pengo kati ya Wababe wa Soka na Afrika linazidi kupungua
Timu za Afrika zina vipaji, ustadi, na uwezo, lakini kwa miaka mingi zimekuwa chini ya wababe wa Ulaya na Amerika Kusini. Lakini pengo hilo lililozoeleka kwa miaka mingi katika soka, sasa linapungua kwa kasi.
Trump amefanya nini tofauti na Obama kuhusu Iran?
"Wazo kwamba tunaweza kuwalazimisha wengine kwa nguvu au kutatua matatizo kwa mabomu linaweza kuonekana la kuvutia wakati mwingine. Hata hivyo, ukweli ni kwamba ni muhimu kutoa muda kwa diplomasia hata kama hayatamaliza tatizo kwa asilimia 100, yanaweza kulitatua kwa asilimia 80 au 90 huku yakiepusha ulazima wa kuingia vitani," alisema Obama.
Vozinha: Kipa "mzee" aliyeiteka dunia ya soka
Cape Verde yaibana Hispania kwa sare tasa, huku golikipa wake wa miaka 40 akigeuka kuwa gumzo duniani baada ya kiwango chake cha kuvutia.
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Kwa nini mechi za Kombe la Dunia zinachelewa kuanza?
Mashabiki wa Scotland, ambao hawakuwa wameona timu yao ya taifa ikicheza Kombe la Dunia kwa miaka 28, pengine hawakujali kucheleweshwa zaidi kwa dakika mbili na nusu kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Haiti.
Siasa za Afrika zinavyojengwa 'kihuni'
Wakati makundi haya yanatekeleza kile walichoagizwa wakati huo huchukuliwa kama mkakati wa kumshinda adui ila ukweli wa mambo ni kwamba baada ya muda, makundi hayo hayo ndio hugeuka na kuwa chungu kwa aliyelibuni na kuliwezesha.
Changamoto kuhusu mkataba wa Iran na Marekani
Kulingana na Trump, makubaliano hayo ni mazuri na yataleta amani ukanda huo wote wa Ghuba ya Uajemi.
Tetesi za soka: Fernandes azigonganisha PSG, Madrid na Man Utd
Real Madrid imefanya mawasiliano kuhusu uwezekano wa kumsajili Mateus Fernandes, huku Manchester United ikisita kufikia bei inayotakiwa na West Ham. Bayern Munich nayo ipo mbioni kumsajili Ismael Saibari kutoka PSV Eindhoven.
Kwa nini tarehe ya mazishi ya Ali Khamenei imetangazwa sasa?
Zaidi ya siku 100 baada ya Ali Khamenei kuuawa katika shambulio la Marekani na Israel, Ofisi ya Kuhifadhi na Kuchapisha Kazi za kiongozi wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hatimaye imetangaza tarehe za shughuli za kumuaga, mazishi na kuzikwa kwake.
Jinsi FIFA inavyovuna mabilioni ya dola katika kila Kombe la Dunia
Kwa jumla, mtaalam wa uchumi anatabiri kuwa mapato yote ya FIFA katika Kombe la Dunia la 2026 yatafikia kati ya dola bilioni 14 na dola bilioni 19.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ifahamu droni ya baharini iliyotumiwa na Marekani kuwaokoa wanajeshi wake
Hiki ni kisa cha kwanza kinachojulikana ambapo chombo kisicho na rubani kimetumika kutekeleza kazi ya uokoaji.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na Magharibi ukizorota.”
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
Kwa nini Netanyahu anatajwa kuwa kikwazo katika makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran?
Vyombo vya habari vya Uingereza vilijadili masuala mbalimbali ya ndani na ya kimataifa, ikiwemo maendeleo ya juhudi za kufikia makubaliano kati ya Marekani na Iran na nafasi ya Israel katika hilo.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 17 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































