BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Hafidh Ameir ni nani? Mume wa Rais Samia aliyekuwa nyuma ya pazia
Miongoni mwa watoto wao ni Wanu Hafidh Ameir, mwanasiasa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Makunduchi na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Moja kwa moja, Kesi ya Lissu yaendelea mahakamani
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
Moja kwa moja, Kenya yajibu madai ya 'chuki dhidi ya wageni'
Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Lee Kinyanjui amepuuzilia madai yanayolinganisha hali ya sasa nchini Kenya na matukio ya chuki dhidi ya wahamiaji yaliyoshuhudiwa Afrika Kusini.
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba
Warioba ameyasema hayo katika mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili hali ya kisiasa nchini Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29 yaliyosababisha vifo vya watu 518.
Viumbe 10 hatari zaidi duniani
Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.
Kwanini Umoja wa Mataifa ulibadilisha ramani ya dunia?
Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulitoa wito wa kubadilishwa kwa ramani ya dunia inayotumika kwa sasa.
Wiki mbili za ukimya wa Nchimbi
Hata mtu aliyekuwa akijaribu kumpigia simu, Warioba, hakupata majibu baada ya siku ya kwanza. Sasa Kihongosi naye anasema hajui alipo na hajafanya jitihada za kumtafuta Nchimbi.
Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Man City zinamgombea Neto wa Chelsea
Pedro Neto, akivivutia vilabu kadhaa huku Chelsea ikipanga kumsajili kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, na Manchester United na Newcastle United zimeulizia kuhusu Christopher Nkunku.
Vikosi vya Marekani vyashambulia meli za mafuta za Iran; IRGC yatangaza mashambulio ya kulipiza kisasi
Masaa kadhaa baada ya meli tatu za mafuta za Iran kushambuliwa, Jeshi la Wanamaji la IRGC lilithibitisha kuwa lilifyatua makombora matatu kutoka Sirik kuelekea mlango Bahari wa Hormuz yakilenga meli kubwa ya kubeba ndege na meli ya kivita ya Marekani.
Mambo ambayo binti anapaswa kujua kabla ya kuolewa
Ingawa watu wengi huiona ndoa kama siku ya sherehe na furaha tu, wataalamu wanasema kuwa ndoa ni zaidi ya hayo.
Israel na Uturuki zikiingia vitani, nani ana nguvu zaidi?
Marekani inaonekana kuepuka kuingia katika vita vya muda mrefu na Iran, lakini ndani ya Israel kuna maoni kwamba, licha ya Iran kudhoofika, Uturuki inaweza kujaza ombwe lililoachwa na Iran.
Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Liverpool kumsajili Ismaila Sarr kutoka Crystal Palace
Liverpool huenda ikajaribu tena kumsajili winga wa Crystal Palace, Ismaila Sarr, mwezi Januari; Richarlison wa Tottenham huenda akatafakari kuhamia Saudi Arabia baada ya mpango wa kujiunga na Trabzonspor kushindikana; na Manchester United inaendelea kumfuatilia Lewis Hall wa Newcastle United.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
WARIDI WA BBC: 'Ulishawahi kumuona bilionea Mo Dewji akifunza watu elimu ya fedha'?
Kuishi nje ya kipato ni moja kati ya makosa ambayo baadhi ya watu wanafanya kwa kujua au kwa kutojua.
Majengo 8 yenye rangi za kuvutia zaidi duniani
Matumizi ya rangi kuwasilisha hisia za furaha na uzuri yamekuwepo kwa maelfu ya miaka.
Jinsi papa wanavyojenga urafiki wa karibu baharini
"Papa mara nyingi huonekana kama viumbe wapweke, lakini utafiti mpya unaonyesha kwamba papa wana uhusiano mkubwa na maisha tata ya kijamii."
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Je, Nchimbi na Gachagua wameponzwa na misimamo yao kisiasa?
Ingawa walihudumu katika nchi mbili tofauti na chini ya mifumo tofauti ya kisiasa, hatima za Emmanuel Nchimbi wa Tanzania na Rigathi Gachagua wa Kenya zimeibua mjadala unaofanana kuhusu uhusiano kati ya marais na manaibu wao, hasa pale tofauti za kisiasa zinapoanza kujitokeza.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 8 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 7 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 7 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































