Shakahola: Paul Mackenzie apatikana na hatia ya vifo vya watoto 190 wakitarajia 'kukutana na Yesu'

.
Iliyochapishwa
Muda wa kusoma: Dakika 1

Kiongozi wa dhehebu la Kikristo nchini Kenya, Paul Mackenzie, amepatikana na hatia ya mauaji ya watoto 190.

Mackenzie alipatikana na hatia pamoja na washitakiwa wengine 29 kuhusiana na vifo vya watu 191 katika msitu wa Shakahola mashariki mwa Kenya. Kati ya waliokufa, 190 walikuwa watoto.

.