BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Kombe la Dunia 2026: Jinsi Brazil mpya inavyoimarika na umuhimu wa Cunha
Brazil inacheza na Japan katika hatua ya 32, huku Matheus Cunha akionekana kuwa ndiye ufunguo wa kiwango kizuri cha Brazil.
Moja kwa moja, Trump asema mazungumzo ya Doha ni muhimu huku Iran ikisema hakuna mkutano uliopangwa
Marekani na Iran zatofautiana kuhusu mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika leo Doha
Nani analinda fedha za umma Tanzania?
Katika kipindi cha Julai 2025 hadi Machi 2026 pekee, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilikusanya shilingi trilioni 28, zaidi ya lengo la shilingi trilioni 26.7, huku walipakodi wapya zaidi ya 900,000 wakisajiliwa katika kipindi hicho.
Tetesi za Soka: Kane kusalia Bayern, Man City kutema watano
Harry Kane anakaribia kuongeza mkataba wake na Bayern Munich, Manchester City wanapanga kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi, huku beki wa kushoto wa Rayo Vallecano Pep Chavarria akitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaowindwa na Chelsea.
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
Vyuo vikuu barani Afrika vinazidi kutambulika katika jukwaa la kimataifa, kwa kuchochewa na matokeo yenye nguvu ya utafiti, ushirikiano wa kimataifa, na ushawishi unaokua wa kitaaluma.
Kwa nini China inaongeza silaha za nyuklia?
Ripoti ya Pentagon ya mwaka 2024 ilikadiria kuwa China inaweza kuongeza mara mbili hifadhi yake ya silaha za nyuklia na kufikia zaidi ya silaha 1,000 ifikapo mwaka 2030.
Marufuku ya mikusanyiko iliyotolewa na serikali DRC ni uamuzi “wa kisiasa,”-Upinzani
Viongozi mashuhuri kutoka vyama vya upinzani nchini DR Congo wamekosoa agizo la serikali, wakidai kuwa linalenga kuzima maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 8.
Soko la mitumba linavyoathiri sekta ya mavazi Afrika Mashariki
Ingawa Tanzania inatoza ushuru wa 35% kwa nguo zilizotumika yaani mitumba, soko kubwa la mitumba la Ilala bado hufurika wateja wanaotafuta nguo za bei nafuu.
Afrika yaweka rekodi Kombe la Dunia, je, safari ya kutwaa taji imekaribia?
Afrika imeandika historia mpya katika fainali za Kombe la Dunia la 2026 baada ya nchi tisa kati ya 10 zilizoshiriki kufuzu hatua ya mtoano ya timu 32, idadi ambayo haijawahi kufikiwa na bara hilo katika historia ya mashindano hayo.
Kama serikali inaweza kuchapisha fedha, kwa nini ikope?
Deni la Taifa la Tanzania kufikia Shilingi trilioni 114.34 hadi Machi mwaka huu, likiongezeka kutoka Shilingi trilioni 104.93 katika kipindi kama hicho mwaka 2025.
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Tetesi za Soka: Arsenal yataka watano, Liverpool yatoswa na Diomande
Yan Diomande ameikataa Liverpool na kuchagua kujiunga na PSG, Ruben Amorim anamtaka Mason Mount AC Milan, na Nottingham Forest wamemuweka Curtis Jones kwenye rada yao
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika 2026
Huku sehemu za bara zikiendelea kukabiliana na ugaidi, uasi, na ukosefu wa utulivu wa kisiasa, nchi kadhaa zimedumisha viwango vya juu vya amani na usalama.
'Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi'
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Makubaliano ya Iran na Marekani: Kwa nini nchi za Ghuba ya Uajemi bado zina wasiwasi?
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo mkubwa zaidi wa madhara.
Je, ndege ya Trump ya hali ya juu ina uwezo gani?
Airforce One: Rais wa Marekani Donald Trump ameitembelea ndege mpya ya rais, aliyokabidhiwa na Qatar mwaka mmoja uliopita, akiielezea kama "ndege ya kifahari zaidi duniani."
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mambo 5 yanayosababisha wenza kutoelewana
Ukosefu wa imani na kuaminiana katika uhusiano, ambao unaweza kufanya kuishi pamoja kuwa na migogoro au wasiwasi, na hatimaye unaweza kusababisha kutengana.
Iran haiko tayari kuiacha Hezbollah nje ya makubaliano yake na Marekani, Kwa nini?
Baada ya maelezo ya makubaliano ya maelewano kati ya Iran na Marekani kuchapishwa, imebainika kwamba Lebanon ilichukua nafasi muhimu katika maandishi na vipengele vya makubaliano hayo.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 30 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 30 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 29 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































