BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Trump amesema Marekani inafanya kazi kwa karibu na Iran
Trump anasema Iran haitarutubisha urani, na Marekani itashirikiana na Tehran "kuchimba na kuondoa 'chembechembe' zote za Nyuklia.
Tunachojua kuhusu usitishwaji mapigano kati ya Marekani na Iran
Waziri Mkuu wa Pakistani Shehbaz Sharif, ambaye ndiye mpatanishi, alisema mapema Jumatano kwamba usitishaji mapigano umeanza mara moja.
Marekani sasa inasafisha mafuta ghafi ya Venezuela
Meli yenye urefu wa futi 820 (mita 250) imebeba mizigo ya thamani kutoka Venezuela ikielekea Marekani – ni mapipa 400,000 ya mafuta ghafi.
Tume ya vurugu za uchaguzi Tanzania yakataa madai ya kuingiliwa, yasema iko huru
Akizungumza na vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo, Jaji Chande alisema kuwa tume hiyo ina mamlaka kamili ya mwisho juu ya ripoti yake na haitoi nafasi kwa mtu yeyote kuingilia kazi yake.
Zijue njia tano rahisi za kupunguza mafuta ya tumbo
Mafuta haya yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya kama shinikizo la damu, kiwango cha juu cha sukari mwilini, na matatizo ya lehemu (cholesterol). Magonjwa haya hutokana na mafuta yanayokusanyika kwenye eneo la tumbo.
WARIDI WA BBC: Mama kwanini ulinizaa hivi?
Mama Daltona anasema ilimchukua muda mrefu moyo wake kukubali kuwa mtoto wake ni huntha.
Tunachokijua kuhusu ndege ya "Doomsday" yenye kustahimili mashambulizi ya nyuklia
Ndege ya "Doomsday" inaweza kuwa kwenye mashambulizi kwa siku saba mfululizo bila kutua.
"Kusitisha mapigano na Iran ni ushindi wa muda mfupi kwa Trump unaoweza kumgharimu"
Mpango huo unajumuisha jeshi la Marekani kuondoka katika ukanda huo, kuondolewa vikwazo kwa Iran, fidia ya vita, na kuruhusu Tehran kuendelea kudhibiti mlango bahari wa Hormuz.
Tetesi za soka Ulaya: Enzo kutimka Chelsea
Kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez, 25, kuwaislisha ombi la kuondoka. Tottenham wanamtaka James Trafford, kama mbadala wa Guglielmo Vicario na Liverpool wanamfuatilia Marco Palestra.
Vitisho vya Trump dhidi ya Iran, tafsiri na athari zake kwenye vita
Trump anaweza kulichukulia hili kama namna ya kuonyesha kwamba bado makali yake yanapata, inaweza kuwa inaongeza hatari ya kuongezeka kwa vita hata kama pengine sio kusudi lake.
Kutana na 'mmiliki' wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea
Wanunuzi walikuwa watu maarufu kama marais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan, Jimmy Carter na hoteli kubwa kama Hilton na Marriot.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kauli 'tata' za Trump na uhalisia wa vita Iran
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushindi kufuatia kuokolewa kwa rubani wa pili wa ndege ya kivita ya F-15 iliyodunguliwa ndani ya Iran, lakini matukio ya hivi karibuni yanaonyesha picha tofauti kuhusu hali halisi ya vita Iran.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Sayansi ya anga: Je, dunia itaisha vipi na lini?
Abrom Zabot anaongeza kuwa baadhi ya makadirio yanazungumzia trilioni za miaka, huku mengine yakihusisha muda mrefu zaidi.
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
Mvulana wa Kipalestina asimulia jinsi familia yake ilivyouawa na vikosi vya Israel
Anasema Mohammed alianguka kwenye mapaja ya Mustafa wakati ufyatuaji risasi ulipoanza, na nguo za Mustafa zikajaa damu.
Kwa nini saa ina dakika 60, na sio 100?
Wanamapinduzi waliamua kuwa siku igawanywe katika saa 10 badala ya 24. Kila saa ingekuwa na dakika 100 za desimali, na kila dakika ingegawanywa katika sekunde 100.
Jinsi mkakati wa vita wa Iran ulivyowashangaza Marekani na Israel
Balozi wa zamani wa Marekani katika NATO, Ivo Dalder, akijibu hotuba hiyo, alisema kuwa kauli ya Trump imezua "mashaka kuhusu malengo ya vita" na kuacha maswali kadhaa muhimu bila majibu.
Safari ya kurejea tena kwenye Mwezi ina umuhimu gani?
Kuanzia kushindana na China hadi uvumbuzi wa mwezi, Marekani inawekeza muda, juhudi na pesa kuelekea Mwezini - na kwingineko.
Pakistan imewezaje kuwa mpatanishi wa vita vya Trump na Iran?
Pia haina kambi za anga za Marekani. Na tofauti na wapatanishi wengi wa Ghuba bado Pakistan haijaingizwa kwenye mzozo huo. Muhimu zaidi, iko tayari kuingilia kati - amani kati ya Marekani na Iran itakuwa na manufaa yake.
Kutoka Suez hadi Hormuz, Marekani haijajifunza kutokana na historia?
Mbinu za kivita zinazotumika sasa na Tehran za kuzuia usafiri kupitia mlango wa bahari wa Hormuz ni sawa na mbinu alizotumia Nasser.
Trump anapigana vita kwa kufuata hisia na hazifanyi kazi
Siku kumi na tatu baada ya vita, Trump aliulizwa na Fox News Radio vita vitaisha lini. Alijibu kwamba hakufikiri kwamba vita "vingekuwa virefu". Kuhusu kuimaliza, alisema "nitakapoihisi."
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Afya yako
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 9 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 8 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 8 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani


























































