BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Mnyika Mahakamani: Lissu hakuhusika kuchapisha kauli zilizoko kwenye shtaka
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
Ujumbe wa Khamenei kwa mataifa ya Ghuba: Tunachofahamu kuhusu afya yake
Tangu ateuliwe kuwa Kiongozi Mkuu, hajajitokeza hadharani, na mamlaka za Iran hazijachapisha picha, sauti au video yoyote inayomhusisha.
Moja kwa moja, Marekani na Iran zarejea kushambuliana baada ya shambulio la Larak
Iran yasema imedungua droni na kushambulia wanajeshi wa Marekani nchini Jordan
Je, unapaswa kuosha kuku mbichi?
Hili ni swali ambalo limekuwa likizua mjadala mkali kwa miaka mingi miongoni mwa familia, kwenye mitandao ya kijamii, na miongoni mwa marafiki.
Maandalizi ya mwisho wa dunia: Je, uko tayari?
Je, dunia ikikumbwa na janga kubwa, utaweza kuishi? Wataalamu wa maandalizi ya majanga wanaeleza mambo muhimu unayohitaji ili kujiandaa engapo hali hii itatokea.
WhatsApp yatumika kuhamisha mamilioni ya euro kwa wahalifu na magaidi
Walanguzi wa fedha kupitia WhatsApp waliratibu uhamishaji wa fedha taslimu nchini Uingereza na sehemu mbalimbali duniani bila kuacha rekodi yoyote ya maandishi au nyaraka.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Pulisic aingia kwenye rada ya Tottenham
Tottenham imeelekeza nguvu zake katika kumsajili Christian Pulisic, huku Liverpool na Everton zikimtaka mshambuliaji wa Stuttgart Jamie Leweling.
Vyakula 5 vya Kiafrika ambavyo sayansi inaviona kuwa bora kwa afya
Kuanzia Moringa hadi Fonio, na ikijumuisha Baobab, Mtama, na Teff, vyakula kadhaa vya Kiafrika vinajulikana kwa utajiri wake wa virutubisho.
Je, unataka kuhamia Ulaya? - hii hapa siri
"Ni mji mzuri na wenye kukaribisha," anasema Sunday, mmoja wa wateja wa Anik, ambaye amehamia hapo hivi karibuni akitokea Devon.
Jinsi Donald Trump anavyoisaidia China kuimarika zaidi
Copilot said: Donald Trump aliwaahidi Wamarekani kwamba atairudisha Marekani kwenye nguvu zake za zamani, lakini baadhi ya wachambuzi wanaamini China huenda ndiyo imenufaika zaidi na baadhi ya sera zake.
'Dharau na kiburi' vilivyomfukuzisha Nchimbi CCM
Hii ni kauli ya kwanza kutoka kwa kiongozi wa CCM kueleza hadharani mazingira na uamuzi wa kumfukuza Nchimbi katika chama hicho.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Je, Nchimbi na Gachagua wameponzwa na misimamo yao kisiasa?
Ingawa walihudumu katika nchi mbili tofauti na chini ya mifumo tofauti ya kisiasa, hatima za Emmanuel Nchimbi wa Tanzania na Rigathi Gachagua wa Kenya zimeibua mjadala unaofanana kuhusu uhusiano kati ya marais na manaibu wao, hasa pale tofauti za kisiasa zinapoanza kujitokeza.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Siri Yafichuliwa: Kwa nini Bomu la Nagasaki halikuweza kuzuiwa
Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, bomu la plutonium liliangushwa katika mji wa Nagasaki nchini Japan, na hivyo kuhitimisha Vita vya Pili vya Dunia.
Silaha 9 za teknolojia ya juu zitakazobadili vita vya siku zijazo
Leo uwanja wa vita unaelekea kwa kasi kwenye silaha zisizoonekana, kupitia akili unde, sumakuumeme, na anga ya juu.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Bidhaa 8 zilizobadilisha dunia
Apple inatimiza miaka 50, safari yenye mafanikio makubwa, changamoto na bidhaa zilizobadilisha dunia. Tunaangazia bidhaa zilizoifanya Apple kuwa kampuni tunayoijua leo.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Baada ya Hormuz, je ni zamu ya Panama?
Wakati vita vya Iran vikiendelea kuvuruga usafiri wa meli katika Mlango wa Hormuz, mojawapo ya njia muhimu zaidi za usafirishaji baharini duniani, maelfu ya kilomita kutoka hapo, eneo jingine muhimu la kimkakati limekuwa kitovu kipya cha mvutano: Mfereji wa Panama; njia muhimu ya maji inayounganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Pasifiki.
Jinsi Iran ilivyotaka kumuua mmoja wa wanangu – Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema kuwa Iran ilijaribu kumuua mmoja wa wanawe, lakini hakutaja ni lini tukio hilo lilitokea.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 31 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 31 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 31 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































