BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Saudia Arabia yaapa kulipiza kisasi mashambulio ya Wahouthi
“Matukio ya wiki za hivi karibuni ni makubwa. Jibu letu lazima liwe kali kwa kiwango hicho hicho,” alisema Mwanamfalme Abdul Aziz bin Salman.
Maafisa wa uhamiaji wamfanyia msako Ilhan Omar Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akitilia shaka uraia wa Ilhan Omar.
Waliouawa na polisi Kasarani wakati wa kumuaga Raila Odinga hawakuhusika na vurugu -Uchuguzi wa BBC
Uchambuzi wa BBC Africa Eye wa video na picha 1,500 umeonyesha kuwa waliouawa katika hafla ya kumuaga Raila Odinga hawakuwa karibu na eneo la vurugu.
Watoto wanavyohimili milipuko ya makombora kutafuta elimu Yemen
Lakini safari yake ya kwenda shule inakabiliwa na changamoto kubwa zaidi kuliko kuvuka barabara au kuchelewa basi.
Washauri wa Roman Abramovich walimsaidiaje kuficha utajiri wake?
Uchunguzi umebaini kuwa nyaraka zilizowekwa tarehe za nyuma pia zilitumika kufuta boti za kifahari na majumba ya bilionea wa Urusi, Roman Abramovich, katika hesabu za kampuni zake.
Je, Urusi itaishambulia NATO?
Uwezekano wa kuingilia kijeshi kwa Urusi katika eneo la nchi mwanachama wa NATO hali ambayo Moscow imekanusha vikali kuwa inapanga kuitekeleza umevutia tena umakini wa vyombo vya habari katika miezi ya hivi karibuni
Dalili za saratani kwa watoto zinaweza zisitambuliwe kwa urahisi – haya ndiyo mambo ya kuzingatia
Ingawa ni nadra, saratani ndiyo sababu kuu ya vifo vinavyotokana na magonjwa miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka 15 nchini Uingereza.
Simba imeamka au utawala wa Yanga unafika mwisho?
Kabla ya mchezo wa jana, Simba iliifunga Yanga mara ya mwisho katika ligi kuu ilikuwa Aprili 16, 2023, kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na Kibu Denis na Henock Inonga, ambao tayari wameondoka klabuni hapo.
Kamera kubwa zaidi duniani ilivyopiga picha za kushangaza zaidi
Kamera hiyo hunasa picha zenye megapikseli 3,200, zikiwa na kiwango cha maelezo cha hali ya juu kiasi kwamba picha moja pekee inahitaji takribani televisheni 400 za Ultra HD ili kuoneshwa katika ubora wake kamili.
Jinsi utumbo wako unavyoweza kupunguza au kuongeza kasi ya kuzeeka
Kwa kuwachunguza watu wanaozidi kuishi hadi zaidi ya miaka 100, wanasayansi wanagundua siri za afya ya utumbo wao.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mataifa saba yanayolipa mshahara mkubwa zaidi Afrika
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya iliwapiku majirani zake Tanzania, Uganda na Rwanda, lakini ikabaki nyuma ya Djibouti, ambayo ndiyo iliyoongoza sio Afrika Mashariki pekee bali pia bara zima kwa wastani wa dola 2,836 kwa mwezi.
Wafahamu wafanyabiashara wenye utata kama Wicknell Chivayo
Kilichowaunganisha wengi wao ni simulizi ya kuanzia maisha ya kawaida au ya umaskini na baadaye kufikia utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa au kijamii.
Kwa nini Marekani iliziondoa kwa ghafla ndege zake za kurusha mabomu kutoka Uingereza?
Hatua ya ghafla na ya kina ya kuondolewa kwa ndege nzito za Marekani zenye uwezo wa kubeba mabomu siku ya Jumapili ilikuja kwa kasi kiasi cha kuacha kila mtu akijiuliza ni nini kilichosababisha hatua hiyo
Mambo 5 muhimu kuhusu mradi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote nchini Kenya
Mradi huo unatajwa kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu kuwahi kutekelezwa nchini Kenya tangu ilipopata uhuru.
Miji bora zaidi duniani mwaka 2026 na siri za mafanikio yake
Ni nini kinachoufanya mji uwe wa kuvutia kiasi cha watu kutaka kuishi humo, kufanya kazi au hata kuutembelea?
Sir Wicknell alipataje utajiri wake?
Chivayo ameacha kampuni, mali na mahusiano na watu wenye ushawishi, lakini pia ameacha maswali ambayo huenda baadhi ya majibu yake ameondoka nayo.
Uvumbuzi 9 wa kijeshi wa ajabu zaidi kuwahi kubuniwa duniani
Wasovieti walihitaji njia ya kuzuia vifaru vya Wanazi haraka. Afisa mmoja akatoa pendekezo la kikatili na la kushangaza: kwa nini wasitumie mbwa?
Teknolojia 5 zinazombadilisha binadamu kuwa nusu mashine
Kuruka angani kwa muda mrefu kumekuwa ndoto ya binadamu, kuanzia simulizi ya Kigiriki la Icarus hadi magari yanayoruka yaliyooneshwa katika filamu za sayansi ya kubuni kama Blade Runner.
Edward Rukidi Kijanangoma: Kutoka uwanahabari hadi ufalme wa Tooro Uganda
Mwanahabari Kijanangoma anapanda kwenye kiti cha ufalme wa Tooro huku mzozo wa kumrithi marehemu Mfalme Oyo ukiendelea.
Hukumu ya kesi ya Lissu kutolewa tarehe sita Novemba
Mahakama imesema itahitaji muda wa kutosha ili iweze kutoa maamuzi sababu hili ni shauri la namna yake.
Harvard yafichua siri rahisi ya kuishi maisha marefu
Utafiti mkubwa wa Harvard unaonyesha kwamba, kuwa na mahusiano mazuri na watu kunaweza kusaidia kuongeza miaka ya kuishi ukiwa na afya njema. Badala ya kuwa na watu wengi, mahusiano machache lakini yenye kina, pamoja na kushiriki shughuli za kijamii, yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika afya ya mwili na akili.
Mabilionea duniani wanavyopambana kuishi milele
Matajiri wakubwa wanaendelea kutumia mamilioni ya dola kutafuta njia ya kuishi milele kwa nini basi mafanikio halisi ya kisayansi hayapati ufadhili?
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 13 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 12 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 12 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 12 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































