Mamilioni ya watu wanakaa kwenye kambi na wengine maelfu wamekwama kwenye mafuriko nchini India

usafi
Maelezo ya picha, Kazi kubwa ya usafi inaendelea baada ya mvua kubwa kupiga Kerala
Iliyochapishwa

Takribani watu 400 wamekufa na wengine maelfu wamekwama katika mafuriko makubwa ambayo hayajawahi kutokea kabla katika karne hii huko India katika mji wa Kerala.

Watu zaidi ya milioni moja hawajulikani walipo na wengine maelfu wanaishi kwenye kambi.

Mvua kubwa za masika zinazosababishwa na upepo mkali zilipoanza,jitihada nyingi zilifanyika ili kuwaondoa watu katika maeneo hayo ya pembezoni.

mafuriko
Maelezo ya picha, Jeshi la India linaendelea kutoa msaada kwa wale ambao wamekwama katika mafuriko
msaada
mvua
Maelezo ya picha, Misaada kutoka maeneo mbalimbali ya India yawasilishwa
msaada
Maelezo ya picha, Vyakula ni miongoni mwa misaada ambayo wanapokea
mafuriko
Maelezo ya picha, Wale waliolazimika kuhama makazi yao wanalala kwenye kambi kwa zamu
makazi
Maelezo ya picha, Mpaka mafuriko yaishe ndio wataweza kurejea kwenye makazi yao
mafuriko
Maelezo ya picha, Mazishi wa watu 400 waliokufa katika mafuriko