BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Iran, Marekani zaripoti wimbi jipya la mashambulizi ya anga Ghuba
Washington na Tehran walishambulia vituo vya kijeshi vya kila mmoja karibu na Mlango wa Hormuz
Kombe la Dunia halitakuwa kama ulivyozoea, kuna sheria 7 mpya
Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi wa FIFA, Pierluigi Collina, amesema baadhi ya mabadiliko hayo tayari yameidhinishwa, huku mengine yakitarajiwa kutumika rasmi wakati wa mashindano hayo makubwa zaidi ya soka duniani.
Rosana Kathure: "Ningejua anayenioa atanikata jicho, nisingeolewa"
Rosana anasema mume wake alikuwa akimuambia maneno makali kila walipokwazana lakini yeye aliyachukulia kirahisi.
Vita vya siri vya GPS vinavyotikisa usafiri wa anga duniani
Katika Ghuba ya Uajemi, kulikuwa na ongezeko kubwa la ndege zilizoripoti kuathiriwa na udanganyifu wa GPS baada ya kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran Mwezi Februari tarehe 28.
Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
PSG kombe Arsenal pesa, msimu wa mabingwa ulivyofungwa
PSG imetwaa ubingwa wa Ulaya mara mbili mfululizo. Kwa Arsenal, licha ya kupoteza fainali kwa penati, safari yao ya kuvutia ilibeba maana kubwa zaidi ya kisoka na kifedha, kutokana na mfumo mpana wa malipo wa UEFA.
Video, Tazama: Polisi walivyokabiliana na mashabiki wa PSG jijini Paris, Muda 1,30
Polisi nchni Ufaransa walirusha vitoa machozi kutawanya umati wa watu katikati mwa jiji la Paris.
Kwanini Trump anaishinikiza Uturuki kujiunga na Mkataba wa Abraham?
Moja ya vizingiti vikubwa vinavokabili uhusiano wa kidiplomasia kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu ni mtazamo wake dhidi ya Wapalestina.
PSG bingwa Ulaya, yaichapa Arsenal kwa penati
Arsenal imeshindwa kubeba taji lao la kwanza kabisa la Ligi ya Mabingwa Ulaya tangu klabu hiyo ilipoanzishwa miaka karibu 140 iliyopita, PSG imeweza kutetea taji hilo ililolitwaa msimu uliopita.
Jinsi matumizi ya mabaya ya Saudi Arabia yalivyofikia kikomo
Mradi wa dira ya maendeleo ya 2030 wa MBS ulionekana kuwa hadithi za kisayansi. Sasa uhalisia ume
Kutafuna chakula vizuri kunaimarisha ubongo wako - Utafiti
Kutafuna zaidi kunaweza kutoa faida nyingi, kutoka kwa kuboresha usagaji chakula na kusababisha ulaji wa chini wa kalori, kupunguza mafadhaiko na wasiwasi, na kuboresha uwezo wa utambuzi kwa kuimarisha ustadi wa kumbukumbu na kuongeza muda wa umakini.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
WARIDI WA BBC: 'Nilitokwa na haja ndogo bila kukoma kwa miaka minne'
Shirika la afya ya uzazi la Umoja wa Mataifa - UNFPA na Wakfu wa Fistula wanakadiria kuwa visa vipya vya fistula 1,000 hadi 3,000 hutokea nchini Kenya kila mwaka.
Rare Earth: Je, madini haya yataleta maajabu Tanzania?
Madini muhimu ya Rare Earth Elements, yanaundwa na kundi la kemikali 17 zenye sifa za kipekee, na ni muhimu katika teknolojia mbalimbali za kisasa.
Ni nani anayelinda meli eneo la Ghuba na Bahari ya Shamu?
Je, ni miungano gani maarufu zaidi ya kijeshi kwa sasa inayolinda usafiri wa baharini katika eneo la Mashariki ya Kati?
Kiongozi wa ISIS aliyelengwa na Marekani kaskazini mashariki mwa Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Tinubu alithibitisha tarehe 16 Mei kifo cha afisa mkuu wa Islamic State (IS), Abu Bilal al-Manuki (au al-Mainuki), wakati wa operesheni ya pamoja ya kijeshi na Marekani.
Ebola ni nini na kwa nini kuzuia mlipuko huu ni vigumu sana?
Mlipuko wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo unahusisha aina adimu ya virusi na unatokea katika eneo lililoathiriwa na migogoro.
J-10C Fighters: Nini kinazifanya ndege hizi za kivita kuwa hatari zaidi?
Moja ya sababu kubwa zinazofanya J-10C kupewa hadhi ya ndege hatari ni uwezo wake wa kushambulia adui kabla hata ya kuonekana kwenye rada za kawaida.
Mzozo wa Iran: Kwanini Trump anatishia kuishambulia Oman?
Kauli ya Trump inasemekana kuwashangaza waangalizi wa eneo hilo kwa sababu Oman kwa muda mrefu imekuwa ikizingatiwa kuwa mmoja ya washirika wa karibu wa Marekani katika eneo la Ghuba.
CHADEMA vs Msajili, vita vya panzi au mgogoro wa mfumo?
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana?
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Afya yako
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 1 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 29 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




















































