Kwa picha: Uvamizi wa bunge Marekani

Iliyochapishwa

Waandamanaji wanaomuunga mkono rais Donald Trump walivamia majengo ya bunge ambapo maafisa na wabunge walilazimika kutafuta usalama wao na kusitisha mjadala wa kuidhinisha ushindi wa Biden katika mabunge yote mawili, la seneti na wawakilishi.

Supporters of Donald Trump clash with police officers in front of the US Capitol
Maelezo ya picha, Vurugu zatokea katika majengo ya bunge wakati wafuasi wa Trump walipovamia eneo la mbele la majengo ya bunge na kulishikilia.
A protester carries the Confederate flag into the US Capitol building
Maelezo ya picha, Mtu mmoja aliyeandamana akiwa amebeba bendera ya bunge baada ya kuvamia bunge
Pro-Trump protesters break in to the US Capitol
Maelezo ya picha, Waandamanaji waliovaa fulana za Trump wakipiga picha ndani ya majengo ya bunge
One protester carries a plinth from a room in the US Capitol
Maelezo ya picha, Raia mmoja aliyeandamana anaonekana akiwa amebeba msingi wa kuwekea sanamu kutoka moja ya chumba cha bunge
Capitol police point guns at a protester from inside the Senate chamber
Maelezo ya picha, Maafisa wa polisi bungeni wakiotesha bunduki kwa mmoja wa waandamanaji ndani ya bunge la Seneti
A protester hangs from the wall of the US Senate chamber
Maelezo ya picha, Muandamanaji mmoja akiruka juu ya roshani au kibaraza ili aweze kuingia katika bunge la Seneti
US lawmakers and staff wear protective gear amid protests inside the Capitol
Maelezo ya picha, Wabunge na wafanyakazi wa bunge wakiwa wamevaa barakao zao wakati wa uvamiz
A protester carries a flag that reads "Trump is my president"
Maelezo ya picha, Bendera ilioandikwa "Trump ni rais wangu" ikipeperushwa na mmoja wa waandamanaji
A supporter of US President Donald Trump sits at the desk of US House Speaker Nancy Pelosi
Maelezo ya picha, Baada ya kuketi kwa kiti cha Spika wa Bunge la Wawakilishi Nancy Pelosi, mmoja wa waandamanaji ameandika ujumbe na kuuacha hapo unaosema "hatutarudi nyuma"
Capitol police detain protesters inside the building
Maelezo ya picha, Waandamanaji kadhaa wakuwa wamekamatwa na polisi wenye silaha
Pro-Trump protesters break in to the US Capitol
Maelezo ya picha, Waandamanaji wakizungumza na polisi na wafanyakazi wa bunge hali ikiwa itete.
A US Capitol police officer shoots pepper spray at a protester attempting to enter the Capitol building
Maelezo ya picha, Afisa wa polisi bungeni akimrushia maji ya kuwasha muandamanaji mmoja aliyekuwa anaingia ndani ya majengo ya bunge kupitia dirisha lililovunjwa
Supporters of US President Donald J. Trump in the Capitol rotunda after breaching security
Maelezo ya picha, Makumi ya waandamanaji wakisherehekea baada ya kufika najengo ya bunge
Trump supporters pose for pictures on the Senate dais
Maelezo ya picha, Wafuasi wa Trump wakipiga picha baada ya kuingia katika ukumbi wa bunge la Seneti
A Trump supporter wears face paint at a protest in Washington, DC
Maelezo ya picha, Baadhi ya waandamanaji wamejipaka rangi na kuvaa nguo za sanaa
Leigh Ann Luck dressed up as the Statue of Liberty shouts as supporters of President Donald Trump gather near the Capitol building in Washington
President-elect Joe Biden speaks amid protests in Washington
Twitter flags Donald J Trump's response to the protests as posing a "risk of violence"
Maelezo ya picha, Trump afungiwa akaunti yake kwa muda
Supporters of US President Donald Trump protest outside the Capitol building
Maelezo ya picha, Awali, wafuasi wa Rais Rais Trump wakiwa wamekusanyika nje ya majengo ya bunge

All pictures are subject to copyright.