Mifano 7 ya utajiri wa 'kufuru' wa Elon Musk
Mifano 7 ya utajiri wa 'kufuru' wa Elon Musk
Iliyochapishwa
Mmiliki wa makampuni ya teknolojia ya SpaceX na Tesla, Elon Musk, amekuwa mtu wa kwanza duniani kuwa na utajiri wa dola trilioni moja baada ya SpaceX kuanza kuuzwa kwa dola 150 kwa kila hisa.
Forbes sasa inakadiria utajiri wa Musk kuwa dola trilioni 1.1. Mwandishi wetu Yusuph Mazimu anauelezea utajiri huo kwa mifano 7 halisi



