Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
''Nilivyoambiwa nina tatizo la figo nilivurugwa''
''Nilivyoambiwa nina tatizo la figo nilivurugwa''
Iliyochapishwa
“Kama siku zingerudi nyuma, ningekuwa nafanya vipimo vya afya mara kwa mara…”
Maryam ckdjourney 26, aligundulika kuwa na ugonjwa wa figo miaka miwili baada ya kuhitimu Shahada ya Ualimu.
Leo, Mariyam anafanya kazi za usafi majumbani kujikimu kimaisha na kukusanya fedha za matibabu kitaalamu dialysis na hatimaye kupandikiza figo ili kuokoa maisha yake.
Je, Maryam ckdjourne alipokeaje taarifa hiyo?@martha_saranga amezungumza nae katika WARIDI WA BBC. Kutazama kwa urefu taarifa hii tembelea YouTube ya BBCSwahili
Video: Bosha Nyanje