Kizza Besigye azimia mahakamani

Maelezo ya video, Kizza Besigye azimia mahakamani
Kizza Besigye azimia mahakamani
Iliyochapishwa

Tazama jinsi kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, 70, ambaye amekuwa akizuiliwa tangu Novemba 2024, alivyoanguka mahakamani alipokuwa akipinga mawakili walioteuliwa na serikali kumwakilisha