Tuzo za wanyama pori wenye kuchekesha kwa mwaka 2019

A lion cub goes for his dad's privates
Maelezo ya picha, Simba mdogo akijaribu kurukia sehemu za siri za baba yake
Iliyochapishwa

Hizi ni picha ambazo zilishinda tuzo za wanyama pori wenye vituko licha ya kuwa picha hizo kutoonekana kuwa na taswira ya kuchekesha.

Picha inayomuonyesha simba mdogo akicheza ilipigwa na Sarah Skinner huko Botswana.

A fish chased by a shark
Maelezo ya picha, Picha hii inaonyesha samaki akiwa anakimbizwa na papa
Two fox cubs dancing
Maelezo ya picha, Je, kucheza huku kwa fisi kulistahili tuzo
An otter holds its cheeks
line
A rhino sprays on a bird
Maelezo ya picha, Kiboko akimkojolea ndege
An owl laughing
Maelezo ya picha, Bundi akiwa anacheka
A monkey relaxing
Maelezo ya picha, Sokwe mtoto akiwa amejipumzisha
line
line