BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Trump atumia maneno makali kuitishia Iran kufungua Mlango wa Bahari wa Hormuz
Rais wa Marekani Donald Trump anasema anafikiria "kulipua kila kitu na kuchukua mafuta" nchini Iran ikiwa makubaliano ya kumaliza vita hayatafikiwa haraka, Fox News inaripoti.
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana Duniani aombea amani Mashariki ya Kati
Mfalme Charles, Mke wake Malkia Camilla, Mwanamfalme William na Mke wake Catherine Binti Mfalme wa Wales wanahudhuria ibada hiyo.
Mvulana wa Kipalestina asimulia jinsi familia yake ilivyouawa na vikosi vya Israel
Anasema Mohammed alianguka kwenye mapaja ya Mustafa wakati ufyatuaji risasi ulipoanza, na nguo za Mustafa zikajaa damu.
Je, vita dhidi ya Iran vinamnyima usingizi Kim Jong-un?
Korea Kaskazini kwa hakika ni taifa lenye silaha za nyuklia - na hata Rais wa Marekani Donald Trump alisema mwaka 2025 kwamba nchi hiyo ina "namna fulani ya nguvu za nyuklia" na "ghala kubwa la nyuklia".
Sayansi ya anga: Je, dunia itaisha vipi na lini?
Abrom Zabot anaongeza kuwa baadhi ya makadirio yanazungumzia trilioni za miaka, huku mengine yakihusisha muda mrefu zaidi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumapil: Inter Milan inamfukuzia kipa wa Tottenham
Chelsea inamsaka beki kutoka klabu washirika, Inter inamnyatia kipa wa Spurs na Liverpool inataka kuimarisha safu yake ya ulinzi.
Kwa nini saa ina dakika 60, na sio 100?
Wanamapinduzi waliamua kuwa siku igawanywe katika saa 10 badala ya 24. Kila saa ingekuwa na dakika 100 za desimali, na kila dakika ingegawanywa katika sekunde 100.
Mbegu za kiume zisizo sahihi zilitolewa kwa familia za Uingereza na kliniki za IVF
Kaskazini mwa Cyprus ni mojawapo ya maeneo maarufu zaidi kwa Waingereza wanaotafuta matibabu ya uzazi nje ya nchi, kulingana na wataalamu.
Jinsi ujasusi wa Marekani na Uingereza ulivyopindua serikali ya Iran mwaka wa 1953
Mpango wa Uingereza ulikuwa kumuondoa Mossadegh na kumweka Fazlullah Zahedi, ambaye walimwona kama mtu mwenye urahisi wa kufanya naye kazi.
Bei ya kondomu huenda ikapanda kutokana na vita vya Iran, Marekani na Israel
Sababu kuu ya tatizo hili ni matatizo yanayohusiana na usambazaji kutokana na vita. Uhaba wa makontena ya usafirishaji duniani unachelewesha usafirishaji kwa wateja nje ya nchi.
Safari ya kurejea tena kwenye Mwezi ina umuhimu gani?
Kuanzia kushindana na China hadi uvumbuzi wa mwezi, Marekani inawekeza muda, juhudi na pesa kuelekea Mwezini - na kwingineko.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Pakistan imewezaje kuwa mpatanishi wa vita vya Trump na Iran?
Pia haina kambi za anga za Marekani. Na tofauti na wapatanishi wengi wa Ghuba bado Pakistan haijaingizwa kwenye mzozo huo. Muhimu zaidi, iko tayari kuingilia kati - amani kati ya Marekani na Iran itakuwa na manufaa yake.
Trump anapigana vita kwa kufuata hisia na hazifanyi kazi
Siku kumi na tatu baada ya vita, Trump aliulizwa na Fox News Radio vita vitaisha lini. Alijibu kwamba hakufikiri kwamba vita "vingekuwa virefu". Kuhusu kuimaliza, alisema "nitakapoihisi."
Je, kauli za Trump kuhusu kujiondoa NATO zina maana gani kwa muungano huo?
Trump amewakosoa wanachama wa Nato kwa kuonyesha kutounga mkono malengo ya Marekani nchini Iran.
Jinsi tishio la Urusi linavyoisukuma Ujerumani kuunda jeshi lenye nguvu zaidi Ulaya
Ujerumani inaamini kwamba juhudi za Urusi za kuimarisha jeshi lake kutaipa nguvu ya kutosha kuweza kushambulia eneo la NATO kufikia mwaka 2029.
Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Kwa nini ni vigumu kwa Marekani kuchukua madini ya urani ya Iran?
Kuchimba akiba hiyo ya urani itakuwa moja ya "operesheni ngumu zaidi katika historia", afisa wa zamani wa ulinzi aliambia BBC.
Kwa nini Marekani inalenga kukiteka kisiwa cha Kharg cha Iran?
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Silaha iliyoundwa na Iran inavyobadilisha vita vya anga duniani
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
Je, kuna uwezekano gani kwa Marekani kuanzisha operesheni ya kijeshi ya ardhini Iran?
Wakati vita kati ya Iran, Marekani na Israel vikiingia siku yake ya thelathini, mkondo wa vita hivyo unashuhudia matukio ya haraka na mwelekeo unaobadilika zaidi
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 6 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 3 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 3 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































