Inawezekana kudhibiti upangaji wa nyumba Tanzania?

Iliyochapishwa

Nchini Tanzania baadhi watu wamefanikiwa kujenga nyumba hasa kwenye maeneo ya mijini na kuamua kufanya biashara ya kupangisha nyumba zao.

Leo tunahoji nini cha ziada kinaweza kufanyika kudhibiti biashara ya upangaji wa nyumba na serikali kujipatia mapato?