Simba aliyetoka mbuga ya Nairobi auawa

Iliyochapishwa

Simba aliyetoroka mbuga ya taifa ya wanyamapori ya Nairobi nchini Kenya amepigwa risasi na kuuawa na maafisa wa kutunza wanyamapori baada ya kumshambulia na kumjeruhi mtu mmoja.