Kombe la dunia Atlanta imepoa

Maelezo ya video, Kombe la dunia Atlanta imepoa
Kombe la dunia Atlanta imepoa
Iliyochapishwa

Mashindano makubwa zaidi ya michezo duniani, Kombe la Dunia la FIFA, yanaanza leo. Mechi ya ufunguzi ni Mexico vs Afrika Kusini, Juni 11, saa 4:00 usiku saa za Afrika Mashariki. Lakini mwenyeji mwingine Marekani, hali inaonekana kupoa.

Mwandishi wa BBC, Celestine Karoney, yuko nchini Marekani ambapo alitembelea jiji la Atlanta, moja ya miji mwenyeji wa mashindano hayo, kujionea hali ilivyo na kuona jinsi mashabiki wanavyojiandaa kwa tukio hilo kubwa.