BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Usitishaji vita wa siku kumi kati ya Israel na Lebanon waanza kutekelezwa
Iran inasisitiza kuwa Lebanon ni ''sehemu'' ya makubaliano ya awali ya usitishaji vita kati yake na Marekani.
Papa alivyowakosoa vikali wageni wanaoitumia vibaya Afrika kwa ajili ya faida yao
Papa amekuwa akizungumza kwa uwazi na ukali usio wa kawaida wakati wa ziara yake nchini Cameroon iliyoathiriwa na migogoro.
Viboko wa kokeni: Kwa nini Colombia inataka kuwaua viboko wa Pablo Escobar?
Serikali ya Colombia imetangaza mipango ya kuwaua hadi viboko 80 kati ya mamia ya “viboko wa kokeni” waliotokana na dume mmoja na majike watatu walioingizwa nchini na mfanyabiashara wa dawa za kulevya Pablo Escobar kwa ajili ya bustani yake binafsi ya wanyama.
Picha za satelaiti zilivyofichua ukubwa wa mashambulizi ya Israel huko Lebanon
BBC Verify iligundua kuwa zaidi ya majengo 1,400 yameharibiwa tangu tarehe 2 Machi.
Wanyama wanaofugwa nyumbani wanavyozikwa kifahari nchini Kenya
''Sio paka wakula panya, ni rafiki anayekutoa msongo wa mawazo'', Muthoni Nyokabi, daktari wa mifugo anaiambia BBC.
Kwa nini Bernardo Silva atakumbukwa kama gwiji wa Manchester City
BBC Sport inatathmini maisha ya Bernardo Silva katika Manchester City na kwa nini mashabiki hawatamsahau kamwe.
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Mustakabali wa Rashford Barcelona haujulikani
Mustakabali wa Marcus Rashford Barcelona haujulikani, Anthony Gordon kuchagua kati ya Bayern Munich na Arsenal, huku Manchester City wakimuwania Eduardo Conceicao.
Sababu ya Ghuba ya Uajemi kuwa na mafuta na gesi zaidi kuliko mahali pengine popote duniani
Sayansi ya sasa ya jiolojia inatambua mambo kadhaa muhimu kuhusu miamba inayofanya eneo kuwa na utajiri wa mafuta, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kuzalisha na kuhifadhi hidrokaboni. Katika eneo la Ghuba ya Uajemi, mambo haya yako katika kiwango bora.
Dawa mpya na ghali za Ugonjwa wa Alzheimer hazitaleta mabadiliko makubwa katika maisha ya wagonjwa-Utafiti
Mapitio makubwa yamezua mjadala mkali baada ya kuhitimisha kwamba dawa zina manufaa madogo sana kiasi kwamba hayawezi hata kutambulika kwa urahisi kwa wagonjwa.
Mambo manne yanayoweza kutokea katika mzozo wa Marekani na Iran
Usitishaji mapigano, ambao umedumu kwa wiki mbili, bado upo baada ya zaidi ya saa 20 za mazungumzo kati ya Marekani na Iran yaliyoandaliwa na Pakistan ambayo yalimalizika Jumapili bila maendeleo yoyote.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Marekani itawezaje kuzuia meli za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz?
Marekani itategemea meli zake za majini kudhibiti bandari za Iran, na hivyo kuzuia uwezo wa Tehran kufaidika na mauzo ya mafuta nje ya nchi katika jaribio la kuweka shinikizo kwa nchi hiyo. Itawezekana?
'Natumai vita havitaanza tena': Wairan wana wasiwasi baada ya mazungumzo kutibuka
Mazungumzo dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamezidi kuwa magumu baada ya juhudi za kumaliza vita kati ya pande hizo mbili nchini Pakistan kumalizika bila makubaliano.
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Papa atoa kipaumbele kwa Afrika ambako Ukatoliki unakuwa kwa kasi zaidi
Leo XIV anataka dunia ielekeze macho yake katika bara lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa Kanisa Katoliki, amesema msaidizi wake.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea?
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
Wanaanga wa Artemis II wavunja rekodi kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 17 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 17 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































