Maria Nyerere anavyomkumbuka Winnie Mandela

Iliyochapishwa

Mama wa Taifa wa zamani wa Tanzania, Maria Nyerere anaelezea jinsi alivyomfahamu,Winne Madikizela Mandela wakati Mandela alipokuwa korokoroni.