Kobe mzee azua moto nyumbani

Iliyochapishwa

Kombe,45, aliye na sura ya kutisha ameokolewa baada ya kuazisha moto katika nyumba moja huko nchini Uingereza. Kobe huyo aliangusha taa ya kadili na kuuguza nyumba.